Tanzania: Ajali ya Meli Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 19.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania: Ajali ya Meli Zanzibar

Kumetokea ajali ya meli (18.07.2012) iliokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar.

Watu waliookolewa katika ajali ya Meli

Watu waliookolewa katika ajali ya Meli

 Katika tukio hili kubwa katika eneo la Afrika Mashariki Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wa kujitegemea Jery Muro, Muda mfupi baada ya kutoka katika eneo la ajali mahala ambapo shughuli za uokozi zinaendelea.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada