1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tansania: Uamuzi kuhusu wananchi kukaa umbali wa mita 200

Mahakama Kuu ya Tanzania, leo hii inatarajiwa kutoka uamuzi wake kufuatia kesi ya mlalamikaji wa sheria ya uchaguzi kuhusu wananchi kukaa umbali wa mita 200.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Yusuf Saumu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com