1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari Tanzania waonya mashambulizi ya hospitali

Hawa Bihoga29 Machi 2016

Chama cha madaktari Tanzania chaitaka serikali pamoja na Jeshi la polisi kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wananchi waliowashambulia hospitali za umma katika mikoa ya Mwanza, Mtwara pamoja na Katavi.

https://p.dw.com/p/1ILPx