1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tabia ya wanasiasa wa Afrika kuhamahama vyama

Isaac Gamba
21 Novemba 2017

Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni ukanda wa Afrika Mashariki na Kati  kumezuka mtindo wa wanasiasa kuhamahama kutoka chama kimoja kwenda kingine.

https://p.dw.com/p/2nyqo

Hali hii  inaonekana kwa hivi sasa kuongeza mashaka juu ya imani ya wanachama wa vyama hivyo kwa wapiga kura wao.

Mwenzangu Isaac Gamba amezungumza na mmoja wa wachambuzi wa siasa za ukanda wa Afrika Mashariki Dr Bashiru Ali anayetathimini hali hiyo.

Mwandishi: Isaac Gamba

Mhariri     :Yusuf Saumu