1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi

Yusra Buwayhid
10 Februari 2017

Mahakama ya Rufaa ya Marekani yapinga amri ya Rais Donald Trump ya kupiga marufuku wahamiaji kutoka mataifa saba yenye Waislamu wengi kuingia nchini humo. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akubali juu ya mpango wa kuwarejesha nyumbani wahamiaji waliokosa hifadhi. Na, wabunge wa chama cha upinzani Afrika Kusini wazusha malumbano katika ukumbi wa bunge wakati wa hotuba ya Rais Jacob Zuma.

https://p.dw.com/p/2XIin