1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 20.07.2017

Yusra Buwayhid
20 Julai 2017

Uturuki yazilaumu kampuni za Kijerumani kwa jaribio la mapinduzi la mwaka jana. Umoja wa Ulaya watishia kuiwekea vikwazo Poland. Hoteli mbili zafungwa mjini Nairobi, Kenya, kutokana na maambukizi ya kipindupindu.

https://p.dw.com/p/2gqGy