1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 15.10.2017

Yusra Buwayhid
15 Oktoba 2017

Rais wa Venezuela wapigakura katika uchaguzi wa serikali za majimbo. Uchaguzi jimbo la Ujerumani la Saxony kumnyima Kansela Angela Merkel motisha katika mazungumzo ya serikali ya muungano. Watu 50 wameuawa na wengine 80 wamejeruhiwa katika mlipuko mkubwa zaidi wa bomu la kutegwa ndani ya gari kuwahi kutokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

https://p.dw.com/p/2lqsZ