1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 19.02.2018

Sylvia Mwehozi
19 Februari 2018

Muhtasari : Waziri mkuu wa Hungary ametishia kuyafunga mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotoa elimu juu ya haki za wakimbizi na waomba hifadhi. Katibu mkuu wa chama cha Kansela Angela Merkel, Peter Tauber kujiuzulu wadhifa wake kutokana na sababu za kiafya. Na Sudan kuwaachia wafungwa zaidi ya 80 wa kisiasa

https://p.dw.com/p/2suBL