1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 14.08.2017

Sylvia Mwehozi
14 Agosti 2017

Tuliyo nayo: Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake kusalia nyumbani hii leo ili kuomboleza wale waliouawa katika maandamano. Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence amesema Venezuela inaelekea kuwa nchi ya kidikteta. Na watu 17 wameuawa nchini Burkina Faso baada ya washambuliaji kuvamia mgahawa mmoja.

https://p.dw.com/p/2iA4q