1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi: 13.12.2017

Zainab Aziz
13 Desemba 2017

Viongozi wa dunia waahidi kuendeleza juhudi za kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Maalfu ya watoto wakabiliwa na kitisho cha njaa nchini Kongo. Ujerumani yatoa msaada wa Euro milioni 100 kwa Ghana.

https://p.dw.com/p/2pFc6