1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 10.01.2017

Sylvia Mwehozi
10 Januari 2017

Tuliyo nayo : Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua mkwe wake Jared Kushner kushika wadhifa wa mshauri mwandamizi wa Ikulu. Rais Alassane Ouattara wa Côte d’Ivoire amewafukuza kazi wakuu wa jeshi, na polisi na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametaka hatua za haraka za kuwarejesha nyumbani waomba hifadhi waliokataliwa.

https://p.dw.com/p/2VXuH