1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 03.02.2017

Zainab Aziz
3 Februari 2017

Katika taarifa ya habari leo asubuhi: Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amtaka rais wa Uturuki aheshimu maadili ya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani akutana na mwenzake wa Marekani mjini Washington. Mamia ya watu waandamana kwa siku ya tatu mfululizo nchini Romania kupinga agizo la kuhalalisha ufisadi

https://p.dw.com/p/2WtUo