1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi: 02.08.2017

Zainab Aziz
2 Agosti 2017

Kwenye taarifa ya habari za ulimwengu leo asubuhi: Watu karibu 500 wafikishwa mahakamani nchini Uturuki kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kuipindua serikali ya rais Erdogan. Viongozi wawili wa upinzani wakamatwa nchini Venezuela. Chama cha Social Democtrats (SPD) nchini Ujerumani chazindua mkakati wakampeni za uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2hX9m