1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari saa 12:00 Asubuhi

Zainab Aziz
25 Mei 2018

Korea Kaskazini yasema nayo ipo tayari kwa mazungumzo na Marekani licha ya rais Trump kuvunja mkutano kati yake na Kim Jong Un. Kansela wa Ujeruamni Angela Merkel amekutana na watetea haki za binadamu mjini Beijing. Kisanduku cha pili cha kunakilia safari za ndege chapatikana wiki moja baada ya ndege ya shirika la Cuba kuanguka mjini Havana.

https://p.dw.com/p/2yI7n