1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi

Mohammed Khelef
13 Desemba 2016

Kwenye taarifa ya habari asubuhi hii: Jeshi la Syria linasema linakaribia kushinda vita vya miaka mitano vya kuwania udhibiti wa Aleppo, huko Marekani, matumaini ya kuutengua ushindi wa rais mteule wa Marekani, Donald Trump, kupitia hisabu mpya ya kura yayeyuka; na Venezuela yafunga mpaka wake na Colombia, kuzuia utoroshwaji fedha taslimu.

https://p.dw.com/p/2UB7x