1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, Asubuhi saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
9 Januari 2018

https://p.dw.com/p/2qXbm

Wajumbe wa Korea Kaskazini na Korea Kusini wanakutana katika mazungumzo ambayo ni ya kwanza baina yao kwa muda wa miaka miwili. Ikulu ya White House mjini Washington imeondoa kinga kwa wahamiaji 200,000 kutoka El Salvador, na kuwapa muda wa mwisho kuondoka nchini Marekani. Kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai adokeza uwezekano wa kujiuzulu uongozi wa chama cha MDC na kuwaachia fursa vijana.