1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 23.04.2018

Zainab Aziz
23 Aprili 2018

Watu zaidi ya 50 wameuawa nchini Afghanistan kwenye shambulio la kujitoa muhanga. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron asisitiza umuhimu wa mkataba wa nyuklia wa Iran. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani asema ni mapema mno kwa Urusi kurejeshwa kwenye kundi la nchi saba zinazoongoza kiviwanda duniani.

https://p.dw.com/p/2wU1l