1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 18.01.2017

Grace Kabogo
18 Januari 2017

Rais wa Marekani, Barack Obama amebatilisha hukumu ya kifungo gerezani dhidi ya Chelsea Manning aliyevujisha maelfu ya nyaraka za siri // Mwanasiasa wa kihafidhina wa Italia, Antonio Tajani amechaguliwa kuwa Rais wa Bunge la Umoja wa Ulaya // Rais wa Gambia, Yahya Jammeh ametangaza hali ya hatari ya siku 90, siku mbili kabla ya kumaliza muda wake madarakani

https://p.dw.com/p/2VxfO