1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 01.11.2017

Grace Kabogo
1 Novemba 2017

Ujerumani imeadhimisha kumbukumbu ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiprotestanti ya Martin Luther katika mji wa mashariki wa Wittenberg // Watu wapatao wanane wameuawa mjini New York, Marekani na wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya baada ya dereva wa lori kuwagonga waendesha baiskeli na watembea kwa miguu // Mahakama ya Juu ya Uhispania imelizuia tangazo kuhusu uhuru wa Catalonia.

https://p.dw.com/p/2mpkE