1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari 17.08.2017

Sylvia Mwehozi
17 Agosti 2017

Rais Donald Trump ameyafuta mabaraza yake mawili ya kibiashara katika Ikulu ya Marekani. Sierra Leone yawakumbuka waliofariki katika mkesha wa ibada. Na Saudi Arabia kuwaruhusu mahujaji wa Qatar kushiriki Hijja ya mwaka huu.

https://p.dw.com/p/2iNWl