1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Siku ya Wanawake barani Afrika

Leo (31.07.2012) ni siku ya mwanamke barani Afrika. Siku hii inaikumbusha jamii ya Waafrika kumtendea wema mwanamke, ikiwa ni sehemu ya jamii ambayo ina wajibu wa kuleta maendeleo.

Wanawake wakiwa shambani

Wanawake wakiwa shambani

Wanawake lakini wamekuwa wa kwanza katika mataifa kadha ya Afrika kukumbana na matatizo kadha, hasa katika maeneo ya vita. Sekione Kitojo amezungumza na mwanaharakati anayefanyakazi katika shirika la kijamii linalopigania amani katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Janine Mbandu , na alitaka kujua siku hii ina umuhimu gani kwa mwanamke wa eneo hilo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada