1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya kimataifa ya kupambana na kutokujua kuandika na kusoma nchini Burundi

12 Septemba 2008

Mwanzoni mwa wiki hii ulimwengu uliadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na kutojua kusoma na kuandika.

https://p.dw.com/p/FHAH
Wananchi wa BurundiPicha: DW

Kauli mbiu ya mwaka huu ni elimu ndio tiba mujarab.Kila mwaka Umoja wa mataifa hutenga tarehe nane mwezi wa tisa kama siku ya kupambana na tatizo hilo la msingi.Nchini Burundi takwimu zianeleza kuwa asilimia 40 pekee ya wakazi wa nchi hiyo wanaojua kusoma na kuandika.Hali hiyo inachagizwa na uwekezaji mdogo katika sekta hiyo japo mashirika yasiyokuwa ya kisertikali yanayopambana na tatizo hilo.

Zamu leo ni ya Amida Issa kutoka Bujumbura aleyeandaa taarifa ifuatayo.