1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msaada wa chakula kwa wasiokuwa na chakula

Oumilkheir Hamidou1 Oktoba 2015

Moja ya malengo makuu ya milenia ni kupunguza umasikini kwa kuwawezesha wakaazi wa dunia kupata chakula cha kutosha na shirika la msaada wa chakula la Ujerumani, Welthunger Hilfe, linashiriki kuhakikisha lengo hilo linatimizwa.

https://p.dw.com/p/1GgZs