1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shirika la EGAD lakutana mjini Nairobi kujadili hali ya Somalia

12 Aprili 2007

Mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo pembe ya Afrika,EGAD,wanakutana mjini Nairobi,Kenya, kujadili mikakati mbali mbali ya kuwezesha kupelekwa wanajeshi zaidi wa kuhifadhi amani nchini Somalia.

https://p.dw.com/p/CHGS
Wanajeshi wa Uganda waliopo nchini Somalia kwa ajili ya kuhifadhi amani
Wanajeshi wa Uganda waliopo nchini Somalia kwa ajili ya kuhifadhi amaniPicha: AP

Vile vile mkutano huo wa siku 4 wa shirika hilo la EGAD unachunguza matatizo mbali mbali yalio kikwazo cha mpango huo.

Mwandishi wetu Mwai Gikonyo na ripoti kamili kutoka Nairobi.