1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Sheria ya habari kusainiwa Tanzania

14 Novemba 2016

Wiki moja tangu bunge lilipojadili na kuupitisha muswada wa sheria ya huduma ya vyombo vya habari wa mwaka 2016, Rais John Magufuli anatarajiwa kuusaini muswada huo ndani ya siku saba.

https://p.dw.com/p/2Secl
Magazeti Tanzania
Picha: picture-alliance/dpa/A. Gebert

J2 14.11 Tansania: Neue Mediagesetz - MP3-Stereo