1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi Zanzibar

12 Januari 2010

Wananchi wa Zanzibar leo wanasherehekea mwaka wa 46 wa mapinduzi visiwani humo yaliouondosha utawala wa Kisultani, huku rais wa Amani Karume, katika hotuba yake alioitoa kisiwani Pemba.

https://p.dw.com/p/LTi4
Rais Karume wa ZanzibarPicha: AP Photo

Alielezea mafanikio yaliopatikana katika kipindi hicho, hasa chini ya utawala wake uliodumu sasa karibu miaka kumi, katika sekta za uchumi, jamii, utamaduni na siasa.

Mwandishi wetu Salma Said alikuweko katika shamrashmara hizo za sherehe za siku ya Mapinduzi huko Pemba, na ametutumia ripoti ifuatayo:

Wakati huo huo kuna ripoti za ajali iliyogharimu maisha visiwani Zanzibar. Othman Miraji anazungumza na mwandishi wetu Salma Said: