1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Sherehe za Karnival mjini Cologne

Sherehe za Karnivali zimepamba moto hii leo hapa Ujerumani.

default

Baadhi ya watu wanaosherehekea Karnival mjini Cologne

Mjini Cologne mambo yamechacha ikiwa leo ni siku ambapo wanawake wanapata nafasi maalum. Josephat Charo amezungumza hivi punde na watangazaji wenzetu ambao wako huko Cologne, Lazaro Matalange na Grace Kabogo lakini kwanza ni Peter Moss.  

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Mohammed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 11.02.2010
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Lyfn
 • Tarehe 11.02.2010
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Lyfn