1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shambulio la kujitoa muhanga Pakistan Papo kwa Papo 02.09.2016

2 Septemba 2016

Shambulio la kujitoa muhanga limewaua watu 13 mjini Mardan, Pakistan. Roketi yalipuka katika kituo cha Kennedy mjini Florida na polisi yapambana na waandamanaji wanaoshinikiza rais wa Venezuela Nicolas Maduro kuondolewa madarakani.

https://p.dw.com/p/1Juug