1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Kenya yakanusha madai ya uvamizi wa kitongoji cha Eastleigh,jijini Nairobi.

18 Januari 2010

Msemaji wa Serikali ya Kenya akanusha madai ya njama dhidi ya uvamizi wa kitongoji cha Eastleigh, jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/LZ4g

Serikali ya Kenya kupitia msemaji wake Dakta Alfred Mutua imekanusha madai kwamba kuna njama dhidi ya waislamu katika uvamizi wa usiku wa kuamkia leo uliofanywa na jeshi la polisi katika kitongoji cha Eastleigh mjini Nairobi.

Josephat Charo amezungumza hivi na Dakta Mutua kutaka kujua kinachoendelea huko Eastleigh.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji