1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sensa yaendelea visiwani Zanzibar

28 Agosti 2012

Leo ni siku ya Tatu tangu kuanza kwa sensa ya watu nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/15xvh
Baadhi ya wananchi wamesusia zoezi la sensa
Baadhi ya wananchi wamesusia zoezi la sensaPicha: DW

Baadhi ya watu bado wameendelea kususia kuhesabiwa kwa kukataa, kufunga milango na baadhi kuhamia misikini, kutokana na sababu mbali mbali kubwa visiwani Zanzibar likiwa kulalamikia kunyimwa kitambulisho cha Mzanzibari mkaazi na kutaka kuingizwe kipengele cha dini katika madodoso ya sensa pamoja na kutaka kukataa kuhesabiwa kama mkoa wa Tanzania Bara. Salma Said na maelezo zaidi.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Salma Said

Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi