SANAA: Wasomali kwa maelfu wamekimbilia Yemen | Habari za Ulimwengu | DW | 25.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SANAA: Wasomali kwa maelfu wamekimbilia Yemen

Kiasi ya Wasomali 22,000 wamekimbilia Yemen kwa sababu ya machafuko ya nchini mwao.Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi,hadi watu 355 wamepoteza maisha yao wakati wa kusafiri katika Ghuba ya Aden.Zaidi ya wakimbizi 150 bado hawajulikani walipo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com