1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Samaki kutoka China waathiri soko Kenya

Benard Maranga1 Agosti 2016

Sekta ya samaki imeathirika vipi kutokana na samaki kuingizwa nchini kutoka China? Bernard Maranga amewatembelea wauzaji jijini Nairobi kusikia malalamiko yao kuhusu idadi ya wateja wa samaki kutoka Kenya kupungua.

https://p.dw.com/p/1JZap