1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Safari za kitalii za vijana wikiendi

Bruce Amani
27 Julai 2017

Mara nyingi vijana hujikusanya katika makundi na kufanya safari za kitalii mwishoni mwa juma, wakiamua kutembelea sehemu fulani. Je unafahamu yanayofanyika wakati wa safari hizo? Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka anakupa hasara na faida za 'Road Trips'.

https://p.dw.com/p/2hGSr