1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Rwanda: Sherehe za Sikukuu ya walimu duniani

Serikali ya Rwanda imewaahidi waalimu kuwa italipatia ufumbuzi suala la mshahara mdogo ambalo limekuwa likiathiri ari yao katika utendaji kazi.

default

Kigali,mji mkuu wa Ruanda ambako kulikuwa na sherehe za Sikukuu ya walimu

Ahadi hiyo imetolewa na wizara ya elimu katika sherehe za kusherehekea siku kuu ya walimu duniani leo, katika sherehe mjini, Kigali. Katika sherehe hizo, walimu sitini walioongoza kwa ufanisi darasani walipewa tuzo zikiwemo kompyuta za laptop, pesa taslimu na vitabu. Juhudi hizi zinalenga kurejesha matumaini katika fani hii ya ualimu, ambao wengi wamekuwa wakiikimbia kwa kuwa haina maslahi kama fani nyingine.

Mwandishi wetu wa Kigali Daniel Gakuba ametuandalia taarifa ifuatayo.

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mpitiaji Munira Muhammad

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 05.10.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JyRU
 • Tarehe 05.10.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JyRU