ROM: Blair amekutana na Papa Benedikt XVI | Habari za Ulimwengu | DW | 23.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ROM: Blair amekutana na Papa Benedikt XVI

Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair,amekutana na Papa Benedikt XVI.Kwa mujibu wa Vatikan,mada zilizojadiliwa ni mgogoro wa Mashariki ya Kati na mustakabali wa Umoja wa Ulaya.Mkutano huo wa faragha umefanywa,wakati kukivuma kuwa Blair anataka kuingia katika dini ya Katoliki.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com