Rais wa Tanzania awaonya wafanyakazi wazembe | Matukio ya Afrika | DW | 20.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Rais wa Tanzania awaonya wafanyakazi wazembe

Rais wa Tanzania, John Magufuli, ametoa hotuba yake ya kwanza bungeni Dodoma na kuelezea mipango yake ya uongozi. Wakati huo huo upinzani unataka upatikane ufumbuzi wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar.

Sikiliza sauti 02:38

Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dodoma

Sauti na Vidio Kuhusu Mada