1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Somalia ziarani Kenya

23 Machi 2017

Kenya na Somalia zimeafikiana kushirikiana katika nyanja za usalama, elimu na miundombinu. Rais Mohammed Abdulahi Mohammed wa Somalia na Uhuru Kenyatta wamesema hayo katika Ikulu ya Nairobi.

https://p.dw.com/p/2ZqFn
Rais wa Somalia Mohamed Abdulahi Mohamed na mwenzake wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Picha: Getty Images/AFP/S. Maina

J3 2303 Somalia/Kenya - MP3-Stereo