1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Paul Kagame wa Rwanda azungumza na waandishi wa habari nchini Uganda

13 Desemba 2011

Rais Paul Kagame amesema hana shida yoyote na watu ambao wanapendekeza kubadilishwa kwa katiba ya nchi yake ili imruhusu kuwania urais kwa mara nyingine baada ya muhula wake wa pili wa utawala kumalizika mwaka wa 2017.

https://p.dw.com/p/13Raz
Rwandan President Paul Kagame, leader of the Rwandan Patriotic Front (RPF), salutes a crowd of supporters during a post election party in the early hours of Tuesday, Aug 26, 2003 at the Kigali stadium. With 51 of the 106 districts reporting, Kagame had 94.3 percent of the vote to 3.5 percent for his main competitor, Faustin Twagiramungu. (AP Photo/Karel Prinsloo)
Rais Paul Kagame wa RwandaPicha: AP

 Hata hivyo alisema atatoa msimamo wake rasmi kuhusu suala hili wakati unaofaa ukifika. Rais Kagame aliyasema haya akizungumza na waandishi habari nchini Uganda.

Leylah Ndinda na taarifa kamili.

Mwandishi: Leylah Ndinda

Mhariri: Othman Miraji