Rais Mstaafu Daniel Arap Moi kumuunga mkono Rais Mwai Kibaki | Matukio ya Kisiasa | DW | 28.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais Mstaafu Daniel Arap Moi kumuunga mkono Rais Mwai Kibaki

Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi leo alitamka wazi kwamba atamuunga mkono Rais Mwai kibaki katika uchaguzi mkuu ujao baadaye mwaka huu.

Rais Mwai Kibaki wa Kenya

Rais Mwai Kibaki wa Kenya

Jee matamshi ya kiongozi huyo wa zamani yamepokewaje na chama kikuu cha upinzani ODM?

Mohamed Abdulrahman alizungumza na mbunge Najib Balala ambaye pia ni mmoja wa wanaowania nafasi ya kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa niaba ya chama hicho. Kuhusu kauli hiyo ya Rais Mstaafu Moi, Bw. Balala alikuwa na haya ya kusema.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com