1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais mpya wa Afrika Kusini, Ramaphosa

15 Februari 2018

Cyril Ramaphosa ndiye rais mpya na wa tano wa Afrika Kusini. Amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo na bunge baada ya Jacob Zuma kuachia ngazi kufuatia shinikizo la chama chake cha ANC baada ya kukabiliwa na madai ya ufisadi. Hii hapa historia fupi ya Rais huyo mpya. Tazama vidio.

https://p.dw.com/p/2slWZ