Raia wa Mashariki ya Kongo wakumbuka miaka 14 ya vita vya waasi | Matukio ya Afrika | DW | 02.08.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Raia wa Mashariki ya Kongo wakumbuka miaka 14 ya vita vya waasi

Leo raia wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wanakumbuka miaka kumi na nne tangu vilipoanza vita vya waasi wa RCD.

Kambi ya wakimbizi Goma

Kambi ya wakimbizi Goma

Vita hivyo viligharimu maisha ya watu si chini ya milioni tano, vikiyahusisha mataifa 6 barani Afrika na kumalizika mnamo mwaka 2003. Sudi Mnette alizungumza na mchambuzi Ahmed Rajab akiwa visiwani Zanzibar na kwanza alimuuliza siku kama ya leo inamkumbusha nini?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada