Raia wa Iran wakamatwa na kasha la mripuko nchini Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 03.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Raia wa Iran wakamatwa na kasha la mripuko nchini Kenya

Maafisa nchini Kenya wanasema raia wawili wa Iran waliokamatwa nchini humo hivi karibuni na kugunduliwa kasha la mripuko, walipanga kuyashambulia maeneo yenye maslahi ya Marekani, Uingereza , Israel na Saudi Arabia.

Shambulizi la bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1988

Shambulizi la bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998

Wakati hayo yakifichuliwa , kumekuweko na tetesi kwamba hujuma zao zinahusiana na kile kinachoendelea nchini Somalia. Mohamed Abdulrahman amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Ahmed Rajab, aliyoko mjini Nairobi na kwanza alimuuliza kama kuna uwezekano wa matukio hayo kuwa na uhusiano na vita vinavyoendeshwa na waasi wa Al-Shabaab nchini Somalia.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Mohammed Abdul-Rahman

Mhariri: Othman, Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada