1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Putin asema hatalipiza kisasi Marekani

30 Desemba 2016

Rais wa Urusi Vladimir Putin asema hatalipiza kisasi kwa Marekani baada ya kuiwekea vikwazo, Makubaliano ya kusitisha mapigano Syria yaanza kutekelezwa na Saddam Hussein anatimiza miaka kumi tangu alipouawa kwa kunyongwa.

https://p.dw.com/p/2V4JI