1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Zanzibar: Hakuna amri ya kumkamata Maalim Seif

Elizabeth Shoo29 Februari 2016

Jeshi la Polisi Zanzibar limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa jeshi hilo linapanga kumkamata Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

https://p.dw.com/p/1I425
Jeshi la Polisi Zanzibar
Picha: AP

[No title]

Taarifa za kwenyer mitandao zinasema Maalim Seif anatakiwa kukamatwa kwa tuhuma zinazohusiana na kujitangazia ushindi katika uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 kama inavyoshinikizwa na Chama cha Mapinduzi Zanzibar.
Isaac Gamba amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Kamishina Mkadam Khamis Mkadam, ambaye anafafanua zaidi juu ya taarifa hizo. Kusikiliza mahojiano bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.