1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi waua waandamanaji Kenya

Alfred Kiti24 Mei 2016

Watu watatu wameuawa baada ya kukabiliana na polisi katika maandamano ya kupinga Tume ya Uchaguzi IEBC. Viongozi wa upinzani wamelaani mauaji hayo na muungano tawala umesema uko tayari kwa mazungumzo.

https://p.dw.com/p/1ItSD
Kenia Polizeigewalt gegen Demonstranten
Picha: Getty Images/AFP/T. Karumba

[No title]

Polisi akirusha gesi ya machozi kutawanya waandamanaji Nairobi
Polisi akirusha gesi ya machozi kutawanya waandamanaji NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya
Vizuizi vya barabarani vyawaka moto Naiobi kwenye maandamano ya kupinga IEBC
Vizuizi vya barabarani vyawaka moto Naiobi kwenye maandamano ya kupinga IEBCPicha: Getty Images/AFP/C. de Souza
Polisi wa kuzuia ghasia katika mitaa ya Nairobi
Polisi wa kuzuia ghasia katika mitaa ya NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya