1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Poldi Afghanistan

23 Desemba 2007

---

https://p.dw.com/p/CfPL

KABUL:

Waziri-mkuu Romano Prodi wa Itali amewasili Afghanistan,akiwa kiongozi 3 wa nchi za magharibi kuizuru Afghanistan mnamo muda wa masaa 24.Ubalozi wa Itali mjini Kabul,umearifu kwamba anakutana rais Hamid Karzai,makamanda wa wa vikosi vinavyoongozwa na NATO pamoja na vikosi vya Itali.

Jana viongozi wa Ufaransa Nicolas Sarkozy na Australia. Kevin Rudd wote walizuru Afghanistan bila ya kutazamiwa.

Australia ina askari 900 nchini Afghanistan –wengi wao katika mkoa wa Uruzgan.