PARIS.Raundi ya kwanza ya uchaguzi yaanza Ufaransa | Habari za Ulimwengu | DW | 22.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PARIS.Raundi ya kwanza ya uchaguzi yaanza Ufaransa

Raundi ya kwanza ya uchaguzi wa rais inatarajiwa kuanza baadae leo nchini Ufaransa ambapo wagombea wakuu watatu watamenyana.

Kwa mujibu wa kura za maoni, wagombea wa vyama vya kihafidhina na kisoshalisti bwana Sarkozy na bibi Royal ndio wenye mategemeo makubwa ya kushinda.

Wastahiki zaidi milioni nne watawapigia kura wajumbe 12 ili kumtafuta mrithi wa rais Chirac.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com