PARIS: Waziri Mkuu wa zamani Barre amefariki dunia | Habari za Ulimwengu | DW | 25.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

PARIS: Waziri Mkuu wa zamani Barre amefariki dunia

Aliekuwa waziri mkuu wa Ufaransa,Raymond Barre amefariki katika hospitali ya kijeshi mjini Paris akiwa na miaka 83.

Barre alikuwa waziri mkuu kuanzia mwaka 1976 hadi 1981 chini ya Rais Valery Giscard d’Estaing na alikuwa meya wa mji wa Lyon,kati ya mwaka 1995 na 2001.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com