1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 23.06.2016

23 Juni 2016

Kura ya maoni yafanyika Uingereza. Wabunge wa chama cha Democratic nchini Marekani washinikiza kupitishwe sheria kudhibiti silaha. Shirika la Afya Ulimwenguni WHO kufanya kampeni ya chanjo dhidi ya homa ya manjano nchini Kongo na Angola.

https://p.dw.com/p/1JC9G