1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saleh Mwanamilongo 27 Desemba 2016

Mwanamuziki wa DRC, Papa Wemba, aliyefariki Aprili mwaka huu, anaendelea kukumbukwa kupitia nyimbo zake. Albamu yake ya mwisho ya ''Forever'' iliyotolewa mwezi Oktoba, tayari imevunja rekodi ya muziki wa rumba nchini Kongo. Wemba ametangazwa kuwa mwanamuziki bora 2016, akiwa na nyimbo kadhaa zinazohusu "amani", suala muhimu sana kwa taifa hilo ambalo bado limo kwenye mzozo wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/2UuRo